Hawza/ Sheikh Fāiq Nabiyov, Mkuu wa Idara Kuu ya Waislamu wa Georgia, akiwa pamoja na baadhi ya Maimamu wa Kisunni wa nchi hiyo, leo wametembelea Haramu Tukufu ya Bibi Ma‘suma (a.s).