Hawza/ Mwenyekiti wa Baraza la Utendaji la Hizbullah alisisitiza: Chaguo la mapambano ya muqawama ni dharura ya kitaifa ambayo katika kivuli cha uwepo wa uvamizi, mashambulizi na tamaa za Kizayuni…