Hawza/ Ofisi ya Baraza Kuu la Wakfu na Uongozi wa Kidini nchini Yemen imeandaa mkutano uliowahusisha wanazuoni, makhatibu na wahubiri kwa ajili ya kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad (saww)…