Hawzah/ Ofisi ya habari ya Nawaf Salam, Waziri Mkuu wa Lebanon, imeripoti kwamba yeye pamoja na ujumbe wake wakiwa mjini Cairo walikutana na Ahmad al-Tayyib, Sheikhul-Azhar
Hawza/ Ahmad Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar, kwa mara ya kwanza amechapisha ujumbe kwenye mtandao wa X (Twitter) kwa lugha ya Kifarsi, akilaani mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na utawala…