Hawza/ Sheikh Abdullah Jabri amesisitiza kuwa: "Uaminifu kwa mashahidi unapatikana kwa kushikamana na njia ya jihadi na muqawama, kuimarisha umoja wa Umma na kuendelea kujitahidi kwa ajili ya…
Hawza/ Sheikh Abdullah Jabri, Katibu Mkuu wa Harakat al-Ummah nchini Lebanon, katika kipindi cha “Upeo wa Ushindi” cha Majma’ ya Kimataifa ya Qadimun alisisitiza kwamba; umoja wa Ummah wa Kiislamu…