Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Abdallah Al-Daqqaq amesema; vitisho vya Rais wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni “ukiukaji wa kanuni za kimataifa…
Hawza/ Sheikh Abdallah Al-Daqqaq, Mkurugenzi wa Hawza ya Wabahreini mjini Qom, ameelezea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni “mlipuko wa nuru”, huku akisisitiza kuwa; haukuishia ndani ya…