Hawzah / Naibu wa Kisiasa wa Bunge la Lebanon alisisitiza: Taifa la Lebanon daima hujiona liko pamoja na taifa la Iran na pamoja na mhimili wa muqawama, na ushirikiano huu una mizizi katika imani…