Hawza/ Mtandao wa Kimataifa wa Maarifa ya Ahlul-Bayt (as), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu umeandaa semina maalumu ya mtandaoni inayohusu maisha…
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim imeandaa semina maalumu ya siku tano yenye lengo la kuimarisha uwezo, maarifa na ujuzi wa wahubiri wa dini ya Kiislamu, hususan walimu na wasimamizi wa vituo vya…