Hawzah/ Taasisi moja ya hisani kwa kushirikiana na Waislamu wa Scotland, inapanga kujenga makaburi ya Kiislamu nchini humo.