Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Nāzir Abbas Taqvī, katika hotuba yake, huku akisisitiza uimara wa Muqāwama wa Palestina alisema: “Kujitolea kwa wananchi na wapiganaji wa Palestina hatimaye kutausambarati…