Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ali Fadhlallah alisema: “Kutoweka kwa Imam Musa Sadr, kutokana na nafasi yake ya kuleta umoja wa kitaifa na Kiislamu, pamoja na kuunga mkono malengo…