Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad Safi amesisitiza kwamba; shughuli za tablighi ni jukumu linalobebwa na kila mtu, na zina athari kubwa katika ujenzi wa jamii.