Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Ahmad Iqbal Ridhwi, katika tamko lake akirejelea vifo vya makumi ya watoto wasio na hatia kwa sababu ya njaa huko Ghaza, amesisitiza kuwa: Janga hili siyo tu mzozo…
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad Iqbal Rizvi, katika hotuba yake aliyoitoa kwa kuashiria kuzingirwa miezi minane watu wa Parachinar, aliikosoa vikali serikali na taasisi husika kutokana…