Hawzah/ Mkutano wa pili wa kimataifa wa viongozi wa dini umefanyika katika jiji la Saint Petersburg, nchini Urusi. Kazem Jalali, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Urusi, na Hujjatul-Islamu…