Hawza/ “Rana Tanveer Hussain,” Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Pakistan, katika safari yake mjini Qom Iran, alipata bahati ya kuzuru haramu tukufu ya Bibi Fatima Masuma (a.s)