Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amesema: Hotuba ya Rais wa Iran, katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ilikuwa mchanganyiko wa mantiki ya kisiasa, utetezi wa haki na kueleza misimamo…