Hawza/ Watalii 40 kutoka nchi ya Poland, wamehudhuria katika haram takatifu ya Bibi Fatima Maasuma Salamullahi ‘Alayha, kutokana na kuhudhuria kwao waliweza kuifahamu shakhsia na hadhi ya Bibi…