Hawza/ Nouri al-Maliki, Mwenyekiti wa Muungano wa Dola ya Sheria wa Iraq, amesisitiza kuwa; kuhifadhi urithi wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei na kushiriki katika hafla ya mazishi yake ni wajibu…
Hawza/ Mshauri wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika masuala ya kimataifa, akirejea mwenendo wa hivi karibuni nchini Iran, alisema: Kwa fadhila ya msaada wa Mwenyezi Mungu, njama hii ilidhoofishwa…