Hawza/ Mwanamke Muislamu mwenye asili ya India amefanikiwa kumshinda mpinzani wake wa chama cha Republican, Darby Hill, katika uchaguzi uliofanyika katika jimbo la Illinois nchini Marekani.