Katika kijiji kidogo cha Gelezerde, pembezoni mwa mji wa Sulaymaniyah, kaskazini mwa Iraq, kuna nakala ya Qur’ani Tukufu (Mus’haf) ambayo haiwezi kupuuzwa – sio tu kwa uzuri wake wa kale, bali…