Hawza/ Harakati ya Amal ya Lebanon kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (as) na siku ya tatu ya shahada ya Hussein Yasin Ibrahim, iliandaa hafla kubwa katika Husseiniyya ya mji wa Toulin.