Hawza/ Hassan Rashid Jawad Al-Ubayji alisisitiza kuwa; miradi ya upanuzi ni miongoni mwa miradi migumu zaidi ambayo Ataba Tukufu ya Husseini imebeba jukumu la kuitekeleza katika nyanja mbalimbali.