Hawza/ Katibu Mkuu wa Harakati ya Asaib Ahl al-Haq, amezitaka taasisi za Kiislamu, Kiarabu na za kimataifa kutekeleza wajibu wao wa kibinadamu ili kusitisha mauaji na ukiukwaji unaotishia maisha…
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Sadr, amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa katika Msikiti wa Imamu Ali (a.s.) katika mji wa Homs nchini Syria, na kuitaka serikali ya Syria kudhibiti…
Hawza/ Baraza Kuu la Kiislamu la Alawiya nchini Syria na nje ya nchi, kupitia tamko lake rasmi, limeyalaani mashambulizi ya kigaidi yanayojirudia dhidi ya raia wa dhehebu la Alawi.