Safari moja nikiwa Makka, nilikutana na mzee mmoja ambaye alisema kuwa alikuwa Imamu wa msikiti mtakatifu wa Haram kwa kipindi cha miaka kumi. Umri wake haukuruhusu tena kuendelea kuwa imamu.…