Mlango wa Hormuz (6)
-
Mwanauchumi mkuu wa taasisi ya Moody's atoa tahadhari:
DuniaMarekani imebakiwa na wiki moja tu kabla ya kuingia katika mdororo wa uchumi
Hawza/ Mark Zandi, mwanauchumi mkuu wa taasisi ya Moody's Analytics, ameonya kwamba; iwapo juhudi za kidiplomasia na Iran hazitafanikiwa katika siku zijazo, kuongezeka kwa bei ya mafuta na nishati…
-
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa:
DuniaNguvu ya Iran ndio sababu ya Ulaya kupitia upya sera zake za kikanda
Hawza/ Mchambuzi mmoja wa masuala ya kisiasa amesisitiza kuwa: “Nguvu ya Iran katika nyanja ya kijeshi na kiusalama ndani ya Ghuba ya Uajemi na Mlango wa Hormuz iko wazi kabisa, na jambo hili…
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi:
DuniaGhuba ya Uajemi; ni neema ya Mwenyezi Mungu na inayotamaniwa na wageni/ Enzi mpya ya Ghuba ya Uajemi na Mlango wa Hormuz iko katika kuundwa
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei amesema: Moja ya neema zisizo na mfano za Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa mataifa ya Kiislamu ya eneo letu, hususan watu watukufu wa Iran ya Kiislamu,…
-
DuniaUvamizi wa Marekani dhidi ya Iran umeathiri vipi uchumi wa Ulaya?
Hawza/ Kwa mujibu wa jarida la Politico likinukuu vyanzo rasmi, kuendelea kwa hali hii kunaweza kusababisha mshtuko huu wa kiuchumi kubadilika na kuwa mgogoro kamili wa kiuchumi barani Ulaya.
-
Katika ukumbusho wa Generali wa Baharini shahidi Tangsiri ilisemwa kuwa:
DuniaMlango wa Hormuz utabakia milele chini ya mamlaka na udhibiti wa Iran/ Mzingiro wa baharini kwetu ni jambo la kuchekesha
Hawza/ Naibu wa utamaduni wa Kikosi cha Majini cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu huku akirejea nguvu ya kijeshi ya Iran alisema: Mlango wa Hormuz uko milele chini ya mamlaka na udhibiti wa…
-
Ayatullah Saeedi katika Swala ya Ijumaa ya Qom Iran:
DuniaIkiwa tutasuasua katika usimamizi wa Mlango wa Hormuz, wengine wataingia/ Diplomasia ya kujibu tu imekatazwa
Hawza/ Imamu wa Ijumaa wa Qom, huku akibainisha kuwa; Iran inapaswa kuchukua hatua ya awali katika Mlango wa Hormuz na kutoka katika hali ya kujibu tu kwenda katika hali ya kuwa mbunifu, mtunga…