Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Mir Hussein Ziai amesema kuwa; kuwaamini madhalimu kunapingana na mafundisho ya Uislamu, ameitaja Marekani kuwa ndiyo chanzo cha utawala wa mabavu na uporaji…