Hawza/ Serikali ya Javier Milei, katika mazingira yaliyojaa lawama za kimataifa dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Ghaza, imeanzisha mpango wenye sura nyeusi unaoitwa “Mikataba ya Is-haq”.