Hawza/ Balozi wa Iran anayemaliza muda wake nchini Uganda, Mhe. Majid Saffar, ameipongeza Serikali ya Uganda pamoja na uongozi wa Waislamu kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha uwakilishi…