Hawza/ Maulana Fazlur Rahman, Amir wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu Pakistan, katika barua yake kwa Ayatollah A’rafi, aliusifu msimamo wa Iran kuhusu Ghaza na kusisitiza juu ya umoja wa Umma…