Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sayyid Ali Husaini Sistani amejibu swali la istiftaa kuhusu kupinga matokeo ya istikhara na njia za kujiepusha na majuto baada ya kuifanya.