Hawza/ Awamu ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu imeanza mjini Islamabad, Pakistan, kwa kushirikisha wasomaji mahiri wa Qur’ani kutoka nchi 32 duniani.