Hawza/ Kuonesha sura ya ukatili na ya kutisha kuhusu mwokozi wa mwisho wa zama katika Uislamu mbele ya watu wa dunia ni jukumu la pamoja linaloonekana katika kazi nyingi za Kimagharibi, zikiwemo…
Hawza/ Vyombo vya habari ni miongoni mwa nyenzo zenye ushawishi mkubwa zaidi katika dunia ya leo; kwani mbali na kazi zao za moja kwa moja za kuwaathiri watu binafsi, pia vina uwezo wa kuathiri…