Hawza/ Mtukufu Ayatullah Jawadi Amoli wamesema: Imam al-Baqir (a.s.) amesema kuwa usiku wenye fadhila kubwa zaidi baada ya Laylatul Qadr ni usiku wa nusu ya Sha‘ban, usiku ambao Mwenyezi Mungu…