Hawza/ Baraza la Mkoa wa Najaf al-Ashraf limepitisha rasmi, kwa kauli moja ya wajumbe wake, pendekezo la kuinua hadhi ya kiutawala ya wilaya ya Kufa na kuifanya kuwa mkoa mpya utakaotambulika…