Wafuasi wa Palestina na wanaharakati wa haki za binadamu nchini Korea Kusini walikusanyika mbele ya mgahawa mmoja jijini Seoul, mahali ambapo balozi wa Israel alikuwa amefika kwa ajili ya chakula…