Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu alimuelezea marehemu Ayatullah Milani kuwa ni shakhsia kamili katika nyanja za kiroho, kimaadili, kielimu na kijamii na kisiasa, na akasisitiza kuwa:…
Hawza/ Ayatullah A‘arafi, huku akirejea busara ya kisiasa na ya kimapinduzi ya marji' huyu mkubwa, alisisitiza: Ayatullah Milani alikuwa miongoni mwa maraji' wa kwanza kuiunga mkono harakati…