Hawza/ Siku ya jana Alhamisi Oktoba 1, 2026, Kondoa Mjini lilishuhudia hafla kubwa ya kuadhimisha Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w.), iliyowakutanisha viongozi wa dini, masheikh, wanazuoni…
Hawza/ Waumini wa dini ya Kiislamu mjini Kondoa wamealikwa kushiriki katika hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (saww), katika tukio linalotarajiwa kuwakutanisha waumini pamoja…