Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kwamba; utamaduni wa Mtume (saww) ndio huo huo utamaduni wa jihadi ambao Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama nao na yataendelea kusimama nao,…