Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Abuturabi-Fard amesema: Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ilikuwa udhihirisho wa fikra safi na yenye umoja ya mashahidi,…
Hawza/ Imam wa muda wa Ijumaa wa Tehran amesema: Rais katika hotuba hiyo aliifikisha mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran duniank na akaeleza kwa uwazi misimamo ya taifa la Iran.
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Haj Ali-Akbarī amesema kuwa, adui amefikia hali ya kukata tamaa na sasa anaomba kwa kusisitiza kufanyika mazungumzo na kutuma wapatanishi, akisisitiza kwamba…
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Abutorabi Fard amesisitiza: “Taifa lenye nguvu la Iran, mataifa ya eneo na Mhimili wa Muqawama wameuona uwezo na nguvu zao katika mashambulizi ya kijeshi ya…
Hawza/ Ayatullah Khatami amesema: Shinikizo la kiuchumi na kuzingirwa kiuchumi vinafuatwa kwa lengo la kujenga pengo kati ya wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na kudhoofisha kambi ya haki,…