Hawza/ Osama Hamdan, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Hamas, amesisitiza kuwa; kuchaguliwa Khalil al-Hayya kuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ni ishara ya uhai na uimara wa Hamas,…