Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon, katika taarifa yake baada ya kikao chake cha kila mwezi, ilitoa onyo kuwa, ni lazima kujihadhari na mtego wa kile kinachoitwa “mazungumzo”.