Jinai za Marekani Dhidi ya Iran (8)
-
Ayatullah A‘rafi:
HawzaMikusanyiko ya wananchi ni nguzo muhimu ya nguvu za kijeshi na kiusalama nchini Iran
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, Ayatullah Alireza A‘rafi, amesema kuwa mikusanyiko ya wananchi ndiyo nguzo kuu inayoiimarisha nguvu za kijeshi na kiusalama za nchi, pamoja na kuwa kiungo…
-
Ayatullah Rajabi:
DuniaKulipiza Kisasi Damu ya Kiongozi Aliyeuawa Kishahidi ni Wajibu kwa Wote; Maadui Hawaridhiki Kujisalimisha Kwetu
Hawza/ Ayatullah Rajabi, mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wataalamu wa Uongozi, amesema kuwa kukiuka mwongozo wa Walii Faqihi, hata kama kutatokana na nia ya kutaka kuilinda na kuipa…
-
Naibu Mkurugenzi wa Hawza ya Qum Iran:
Dunia‘Kujitolea’ si kauli mbiu au maneno ya kujigamba tu/ Umuhimu wa kuimarisha uwezo wa wananchi wa kuzuia uchokozi wa maadui
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Maliki, akisisitiza umuhimu wa kudumisha utayari na kuhakikisha wananchi wanajitokeza kwa wakati katika mazingira yanayohitaji ulinzi wa nchi, alisema kuwa…
-
Imamu wa Ijumaa wa Mashhad:
DuniaMuqawa dhidi ya mashambulizi ya adui hauna muda maalumu
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Ahmad Alam al-Huda, huku akisisitiza kwamba muqawama wa wananchi wa Iran dhidi ya mashambulizi ya adui hauna muda maalumu, amesema kuwa wapiganaji wa Iran, kwa kutegemea…
-
Ayatullah Jannati katika kikao cha Baraza la Walinzi:
DuniaIran Haitainamisha Kichwa Mbele ya Vitisho na Uonevu wa Mabavu / Tunahitaji Moyo wa Kijihadi Katika Mapambano ya Kiuchumi
Hawza/ Katibu wa Baraza la Walinzi amesema: Hatua madhubuti iliyochukuliwa na Vikosi vya Wanajeshi vya Iran katika kujibu uvamizi wa Marekani na kulenga maslahi pamoja na vifaa vyake, imeonesha…
-
DuniaTaifa la Iran Limesimama Imara Katika Kukabiliana na Vitisho
Hawza/ Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Mkoa wa Markazi, huku akilaani jinai za utawala wa Pahlavi katika tukio la tarehe 17 Shahrivar pamoja na mashambulizi ya hivi karibuni…
-
DuniaUbalozi wa Iran Vatican Wawataka Viongozi wa Dini Kuvunja Ukimya
Hawza/ Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Vatican, kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa kigaidi wa Marekani kusini mwa Iran, katika eneo la Sirik, umewataka wanazuoni,…
-
Ayatullah Arafi:
HawzaUhalifu wa Marekani katika Sherehe ya Harusi ya Sirik ni “Uhalifu wa Kivita”; Majibu Makali yaendelee Hadi Kuzuia Kabisa Uchokozi wa Adui
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, amelaani vikali shambulio la anga la Marekani dhidi ya maeneo ya makazi na sherehe ya harusi katika eneo la Sirik, mkoani Hormozgan, akilitaja tukio hilo kuwa…