Hawza/ Ayatollah A’raafi, akitoa pongezi kwa uwepo wa kishujaa wa wananchi na ulinzi thabiti wa vikosi vya polisi, ujasusi na usalama, alisema: Wananchi waliingia uwanjani kwa kujitolea muhanga,…