Hawza/ Kamanda wa Jeshi la Lebanon, Jenerali Rodolph Haykal, amesisitiza kuwa; kuchochea fitina za ndani ni miongoni mwa malengo ya utawala vamizi wa Israel, na kwamba ni lazima njama hizo zikabiliwe.