Hawza/ Kwa mnasaba wa kutimia miaka mia moja tangia kubomolewa kwa “Jannat al-Baqi‘”, kwa mara ya kwanza kongamano la kihistoria lililokusanya dini mbalimbali lilifanyika katika “Baraza la Bunge…
Hawza/ Hujjatul-Islam Aslam Rizwi katika Mkutano wa Kimataifa wa Chicago alisisitiza kwamba; kukaa kimya mbele ya uharibifu wa makaburi ya Baqi‘ ni sawa na kupuuza heshima ya Ahlul-Bayt (a.s.),…