Hawza/ Baraza Kuu la Jamaat-e-Islami Pakistan katika azimio maalum, limelaani shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran na kuiomba serikali ya Pakistan kuiunga mkono Iran kikamilifu…