Hawza/ Mwalimu wa Chuo cha Jāmi‘atuz-Zahrā (a.s) amesema: Kupambana na dhuluma ni wajibu wa kimsingi kwa mwanamke. Nafasi ya mwanamke katika jamii ina athari kubwa sana, na ushiriki wa wanawake…