Hawza/ Msikiti wa Saleheen uliopo Preston, nchini Uingereza, umefungua milango yake kwa ajili ya ziara ya wazi kwa umma, ili kutoa fursa bora kwa wale wanaopenda kujifunza kuhusu Uislamu na Waislamu.