Hawza/ Ishaq Dar, katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, alionya kwamba Ghaza imegeuka kuwa makaburi ya ubinadamu na dhamiri ya ulimwengu, kutokana na vifo vingi na hali mbaya…