Hawza/ Imamu wa Ijumaa wa Qom, huku akibainisha kuwa; Iran inapaswa kuchukua hatua ya awali katika Mlango wa Hormuz na kutoka katika hali ya kujibu tu kwenda katika hali ya kuwa mbunifu, mtunga…
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom alielezea makosa saba ya kimahesabu yaliyofanywa na adui katika vita vya Ramadhani pamoja na matakwa ya taifa tukufu la Iran.
Hawza/ Khatibu ya Ijumaa Qom, huku akibainisha kuwa Iran haitoweza kumpa Trump msaliti ruhusa ya kuamua hatima ya vita, alisema: Marekani, Magharibi na wote waliokuwa wakitumia Mlango wa Hormoz…